Sehemu tofauti za utamu wa ngono kwa wanawake
Kwa bahati nzuri wanawake wana maeneo 5 ambayo huwawezesha kusikia utamu wa kufanya mapenzi/ngono tofauti na wanaume
Sehemu maarufu ni
-kisimi na
-G spot (kipele G) lakini kuna eneo lingine linaitwa
-AFE ambalo liko mwishoni kabisa mwa uke na vile vile
-kuta za uke bila kusahau
-mwanzo wa uke.
Mwanamke anaweza kufurahi/kupata utamu wa tendo hili takatifu kwenye maeneo yote hayo ikiwa mpenzi wako anajua kuwajibika (sio kufanya kwa muda mrefu tu bali kujua kucheza na kiungo chake a.k.a uume) pamoja na utundu wake pia wewe mwanamke unatakiwa kuwa wazi na huru kumuelekeza ikiwa kagusa kusiko au kapatia kunako utamu.
Utamu wa maeneo yote hayo ni tofauti na unazidiana ikiwa umejaaliwa kuupata.
Sehemu tofauti za utamu wa ngono kwa wanawake
1.Kisimi-unapopata utamu wa kisimini kwa njia ya kusuguliwa/shikwa/chezewa kwa ulimi, kidole au kichwa cha uume. Utamu wa mahali hapa hupatikana haraka na hufanya usitamani tena tendo hilo kwa muda fulani (3-dk15) na kikiguswa tena hukupa maumivu fulani hivi (inakuwa sensitive) kwa baadhi ya wanawake ndio mpaka kesho tena.
2.Kipele G-Utamu wa mahali hapa ni wa nguvu sana mwanamke mara zote huzirai kwa muda (kuishiwa nguvu) huchukua muda wa dk20-45 kupatikana, na ukipatikana hamu haikuishii hivyo wakati wewe umezimia mpenzi anaweza kuendelea na mchezo na nguvu zikirudi basi na wewe unaendelea kutafuta goli lingine.
Ikiwa mpenzi ana uwezo wa kumaliza lakini anabaki kasimama (dinda) au anajua kujizuia basi unaweza kutandika goli tatu ktk mzunguuko mmoja (hii ni kutokana na uzoefu).
3.Mwanzo wa uke:utamu wa mahali hapa haukupotezei hamu kwani haufiki kileleni bali unasikia utamu fulani hivi....sasa ukitaka kufika kunako mwisho basi sisukumize ili uume uingie ndani zaidi ili aweze kugonga G au nguzo/kuta za uke...(kwa uzoefu)
4.Kuta za uke (kona zote kwa ndani), utamu wa eneo hili unapatikana toka mwanzo uume umeingizwa, na kadri mnavyoendelea kufanyana umoto unazidi na hatimae unamaliza (fika kileleni) ila sina uhakika kilele cha kuta za uke kina uhusiano gani na kufika kileleni.....utamu wa hapa haukumalizii hamu kwani unaweza kuendelea mara baada ya kufika kileleni as long as mpenzi bado mgumu (kadinda)....(kwa uzoefu)
5.Mwisho wa uke (ni karibu na njia ya uzazi.....umewahi kufanya mapenzi/ngono na mpenzi wako akagonga mwisho wa uke na ukasikia maumivu fulani lakini bado unapenda aendelee na wakati mwingine unaomba afanye kwa nguvu (ili usikilizie maumivu hayo)? Je umewahi kubahatika kufika kileleni (sikia utamu) ikiwa anakufanya kwa nguvu huku ukisikia maumivu?
Kama jibu ni ndio basi huko ndio eneo la "mwisho wa uke", utamu wa huko hazimii mtu bali unaweza kutokwa na machozi kama sio kulia kilio cha furaha na maumivu, vilevile lazima utatoa ukelele wa maana sio ule wa kujifanya kumridhisha mwanaume....ukelele wa huko ni "INAUMA lakini TAMU" if u know what I mean.....pia unaweza kutokwa na damu( ni kwa uzoefu).
Utamu wa mahali hapa utakufanya utake zaidi LAKINI hakikisha unamruhusu mpenzi wako kufika huko ikiwa mnaaminiana (mko kwenye uhusiano wa kudumu na msafi kiafya) na uko tayari kuwa mama ikiwa jamaa atatereza na kuachia kidogo kwani ni mlangoni kabisa mwa njia ya uzazi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment