Thursday, March 26, 2009

Macho na ufanyaji wa ngono

Macho na ufanyaji wa ngono

Macho hukupa ujumbe ambao hauja haririwa yaani unaupata ujumbe huo haraka ambao ni halisi na ulio wazi pia ni wa kweli na kwa undani kuliko maelezo.

Kuna aina nyingi tofauti za kutazama/angalia na hivyo ujumbe unaotolewa kutokana na kuangalia kwako huwa tofauti pia. Sasa kwa vile hapa tunaegemea zaidi kwenye mapenzi na ngono sinabudi kuegemea kwenye ule utazamaji
-wa kimahaba,
-wa kuita,
-wa kutamani,
-wa kushawishi,
-kutia ashiki (nyege) n.k.

Macho yanakuwezesha wewe kutambua wazi kuwa mpenzi wako anakupenda, anafurahia raha au utamu wa kufanya mapenzi. Kama wewe unaishi na mpenzi wako (wenza) iwe mko kwenye ndoa au mnaishi tu kama "partners" au hata kama unakuwa na mpenzi wako mara moja kwa wiki lakini huwa analala kwako au kutumia muda wake kuwa pamoja na wewe. Utakubaliana nami kuwa pale mnapopeana busu wakati mnakwenda kulala huwa mnaangaliana na na hakika huwa unahisi kuwa mpenzi wako anakupenda kwa kuyaangalia macho yake tu....bila kusema neno unajua kabisa kuwa binti/kijana hapa kafika!

Vilevile ukiamka asubuhi na kugonganisha macho (natumani wewe sio wale wake/waume wa kukurupuka bila hata salamu eti kwa vile tumelala pamoja)....jamani hatuendi hivyo....show some love kha!

Anyhow, unapogonganisha macho na mpenzi wako kumsabahi kwa busu la asubuhi bila kupiga mswaki (hahahaha ni zuri sana hilo kwani ni natural hahahaha ila sio la ulimi utaharibu siku ya mwenzio), unapata ujumbe wa jinsi gani mwenzio anakupenda.....wakati mwingine unapata ile "siwezi kuishi bila wewe kind of look".

Yatumie macho;
Mkiwa uchi mke kaa juu ya kitanda kwa kuangaliana, tumieni macho yenu kuwasiliana bila kufungua mdomo kisha anzeni kushikana na kubadilishana mabusu na hatimae kubadilishana ndimi zenu a.k.a kulana denda, kulambana nakushikana kona nyingine mnazopenda kushikana........huku mkiangaliana.

Mtakapo kuwa tayari fanyeni mapenzi na "mkao" mzuri wa kutumia macho ni "kifo cha mende" mwanamke juu huku mkiendelea kuangaliana machoni, mwanamke jaribu kujiinamisha kiasi usono kwa mpenzi wako ili uweze kuwa unabusu/kula denda every now and then nakumbuka kubadilisha "rythim".....mfano zunguusha kiuno the same way unazunguusha ulimi wako mdomoni au kwenye ulimi wa mpenzi wako (kwa wakati mmoja) mpaka mmoja wenua anafika au mnafika kwa pamoja....

Hakika utahisi tofauti ya utamu (wa kifika kileleni) ukilinganisha na siku nyingine ambazo huwa hamatazamani.


Ngono ni sanaa

No comments:

Post a Comment