Thursday, March 26, 2009

Uume a.k.a kibamia a.ka mboo

Uume a.k.a kibamia/Tango


Uume kama zilivyo sehemu nyingine za mwili wa wako inapaswa kutunza vema, kusafishwa, kupakwa mafuta/lotion kama unavyopaka sehemu nyingine za mwili ili kuilainisha kwani ikiwa kavu inaweza kusababisha majeraha ukeni au maambukizo ikiwa ni pamojana NGOMA.....fikiria kitu kikavu kina "magwambala" au niseme ngozi ngumu/mipasuko kinaingizwa ukeni ambako ni kulaini kuliko ngozi ya mtoto!

Vilevile mboo hufanyiwa mazoezi ili kuimarisha misuri, kukuza misuri (kwa wale wenye kujihisi kuwa mboo zao nyembamba ukifanya mazoezi yanayokwenda sambambana kujichua inasemekana kitu kinanenepa).

Pia mazoezi ya uume husaidia kuweza kujizuia na kwenda mwendo mrefu zaidi kuliko ile "ukigusa umecheka", mazoezi hayo husaidia kumuongezea raha mpenzi wako ikiwa utachezeza uume wako wakati uko ndani hasa pale anapokuwa anamalizia kufika kileleni (kutokana na uzoefu).

Misuli ya uume ikizoea mazoezi basi unaweza kabisa kufanya mapenzi bila kutumia misuli ya sehemu nyingine za mwili wako kama vile matako na tumbo wakati wa kusukuma kiungo (mboo) ndani, mikono, mapaja na miguu ku-support uzito wako wakati upo juu ya "mamsap".

Jinsi ya kunyonya uume

Ngono ni sanaa

No comments:

Post a Comment