Thursday, March 26, 2009

Miguu na ufanyaji wa ngono

Wanawake wanatembea tofauti kutokana na jinsia zao, hii ni kutokana na wanawake kuwa na "nyonga" pana kuliko wanaume ambayo huwasaidia wakati wa kujifungua.

Utumiaji wako wa miguu unaweza kutuma ujumbe tofauti wakati unatembea kama vile
-umeshoka,
-unaumwa,
-mvivu,
-unajisikia "sexy" au unajiamini na bila kusahau -kumtaka mtu au kutomtaka.

Miguu ya kukanyagia(feet) hutumiwa kabla (kama sehemu ya romance/kuchezeana/nyegeshana) na wakati wa kufanya mapenzi.

Unapofanya mapenzi mwanamke ukiwa chini unakunja miguu yako nakuipumzisha makalioni mwa mpenzi wako aliye juu akiendelea na "shughuli" na kisha jaribu kupiga au kukanda makalio ya mumeo/mpenzi wako hali itakayo muongezea raha (inategemea na mwanaume), pia unaweza kuitumia miguu hiyo kumkanda sehemu za miguu na mapaja wakati mnatiana, hivyo ni muhimu kuitunza miguu yako ili iwe katika hali nzuri, laini na yenye afya.

Wanawake wanavutia zaidi wakitembea juu ya viatu vyenye visigino virefu...unajua ni kwanini?

Kwa sababu unapovaa kiatu kirefu (kisigino kirefu) utahitaji ku-balance uzito wa mwili wako kwa kukaza misuli ya miguu hasa sehemu ya chini(feet) hali itakayo sukuma nguvu kwenye misuli ya miguu (legs) hali itakayofanya miguu yako iwe na umbile fulani hivi ambalo litakwenda sambamba na kunyoosha mgongo wako-kifua kwenda mbele-mabega nyuma kiasi, kiuno na makalio kubinuka kwa nyuma kiaina alafu "speed" ya kutembea itaongezeka kitu ambacho kitahashiria kujiamini kwako hali ambayo ndio u "sexy" wenyewe.

Ngono ni sanaa

No comments:

Post a Comment