Showing posts with label Ngono ni sanaa. Show all posts
Showing posts with label Ngono ni sanaa. Show all posts

Thursday, March 26, 2009

Masikio na ufanyaji wa ngono

Masikio na ufanyaji wa ngono/mapenzi

Inasemekana unapopoteza fahamu ni masikio pekee huwa nauwezo wa kutambua sauti tofauti hasa za wale uliokuwa ukiwapenda au bado unawapenda na ndio maana mtu anapokwenda “Coma” a.k.a kupoteza fahamu mara nyingi mpenzi au mtu ambae watu wengine wanajua unampenda hutumiwa kuzungumza/kuongea na wewe ili kusaidia fahamu zirudi…..

Vilevile masikio ya kwanza kujitokeza/kuibuka/chomoza au kwa kizungu develop ndani ya siku saba baada ya mimba kutungika (kama mimba imeingia leo basi in 7 day tokea leo masikio ya mtoto yanaanza kuchomoza) na baada ya miezi mine na nusu sikio linakuwa limekamilika.


Na kwa wale wapenzi wanaopenda kutoa mimba bila sababu (sikutishi ila ni ukweli ) basi mjue wazi kuwa mnapojadili kufanya hivyo kiumbe huwa anasikia….inatisha eti eeh!

Kama ilivyo macho sikio hukuwezesha wewe kupata ujumbe kutoka kwa mpenzi wako au mtu yeyote, ukijua kutumia masikio yako vema na kusoma mapigo yake ya moyo, tofauti ya sauti zake tunaita “tune” na pumzi yake basi unaweza kutambua anapokudanganya, akiwa amechoka, hataki/anakuta, hakupendi/anakupenda, anaficha kitu, amefanya kosa na linamsumbua akilini, “kanyegeka” au bado, amefika kileleni au anazuga n.k.

Ngono ni sanaa

Macho na ufanyaji wa ngono

Macho na ufanyaji wa ngono

Macho hukupa ujumbe ambao hauja haririwa yaani unaupata ujumbe huo haraka ambao ni halisi na ulio wazi pia ni wa kweli na kwa undani kuliko maelezo.

Kuna aina nyingi tofauti za kutazama/angalia na hivyo ujumbe unaotolewa kutokana na kuangalia kwako huwa tofauti pia. Sasa kwa vile hapa tunaegemea zaidi kwenye mapenzi na ngono sinabudi kuegemea kwenye ule utazamaji
-wa kimahaba,
-wa kuita,
-wa kutamani,
-wa kushawishi,
-kutia ashiki (nyege) n.k.

Macho yanakuwezesha wewe kutambua wazi kuwa mpenzi wako anakupenda, anafurahia raha au utamu wa kufanya mapenzi. Kama wewe unaishi na mpenzi wako (wenza) iwe mko kwenye ndoa au mnaishi tu kama "partners" au hata kama unakuwa na mpenzi wako mara moja kwa wiki lakini huwa analala kwako au kutumia muda wake kuwa pamoja na wewe. Utakubaliana nami kuwa pale mnapopeana busu wakati mnakwenda kulala huwa mnaangaliana na na hakika huwa unahisi kuwa mpenzi wako anakupenda kwa kuyaangalia macho yake tu....bila kusema neno unajua kabisa kuwa binti/kijana hapa kafika!

Vilevile ukiamka asubuhi na kugonganisha macho (natumani wewe sio wale wake/waume wa kukurupuka bila hata salamu eti kwa vile tumelala pamoja)....jamani hatuendi hivyo....show some love kha!

Anyhow, unapogonganisha macho na mpenzi wako kumsabahi kwa busu la asubuhi bila kupiga mswaki (hahahaha ni zuri sana hilo kwani ni natural hahahaha ila sio la ulimi utaharibu siku ya mwenzio), unapata ujumbe wa jinsi gani mwenzio anakupenda.....wakati mwingine unapata ile "siwezi kuishi bila wewe kind of look".

Yatumie macho;
Mkiwa uchi mke kaa juu ya kitanda kwa kuangaliana, tumieni macho yenu kuwasiliana bila kufungua mdomo kisha anzeni kushikana na kubadilishana mabusu na hatimae kubadilishana ndimi zenu a.k.a kulana denda, kulambana nakushikana kona nyingine mnazopenda kushikana........huku mkiangaliana.

Mtakapo kuwa tayari fanyeni mapenzi na "mkao" mzuri wa kutumia macho ni "kifo cha mende" mwanamke juu huku mkiendelea kuangaliana machoni, mwanamke jaribu kujiinamisha kiasi usono kwa mpenzi wako ili uweze kuwa unabusu/kula denda every now and then nakumbuka kubadilisha "rythim".....mfano zunguusha kiuno the same way unazunguusha ulimi wako mdomoni au kwenye ulimi wa mpenzi wako (kwa wakati mmoja) mpaka mmoja wenua anafika au mnafika kwa pamoja....

Hakika utahisi tofauti ya utamu (wa kifika kileleni) ukilinganisha na siku nyingine ambazo huwa hamatazamani.


Ngono ni sanaa

Tuesday, March 24, 2009

Ngono ni sanaa

Ngono ni sanaa


Kufanya mapenzi/ngono na mpenzi wako ni sanaa, tuchukulie sanaa ya urembaji. Huitaji kwenda shule/darasani ili ujue jinsi ya kuremba au kujiremba bali unakwenda shule ili uwe na Cheti kinachotambulika ili uweze kukitumia kutafutia kazi na pengine kuaminiwa na Muajiri au Mteja wako.

Sidhani kuna mtu anataka cheti cha kufanya ngono ei?
Sanaa ya urembo huanzia kwako mwenyewe, unajaribu wanja unakaa vibaya unafuta unapaka tena mpaka unaona sasa umekaa sawia, hali kadhalika unapaka rangi hii ya mdomo inakuwa haiendani na umbile la midomo yake unapaka nyingine mpaka unagundua rangi/aina gani inafaa kupakwa midomoni mwako sio? Hali kadhalika poda na “foundation”.

Sasa hata Ngono inatakiwa ijaribiwe hivyo na wewe mwanamke mwenyewe. Kwanza unatakiwa kuujua mwili wako na umbile lako huko chini, eti wengine hujiogopa na kusema linatisha au limekaa vibaya (hii ilikuwa wakati ule tuko wadogo tusijichungulie wala kujigusa na hatimae kuondoa bikira) ukishaanza kuingiziwa mboo huna haja ya kujiogopa.

Kuna baadhi ya wanawake hawajui kabisa Kuma zao zimekaa vipi na hata mpenzi wake haruhusiwi kuona, vilevile kuna baadhi ya wanaume ambao wanadhani kuwa mwanamke ana tundu mbili kule chini moja ni ya mkojo na nyingine ni ya kutumbukiza mboo na hujidanganya kwa kusema “ukibahatisha kutia tundu la kutolea mkojo ndio mwanamke anafika haraka”…..hahaha nafikiri huwa wanamaanisha kisimi mana’ke kitundu cha mkojo kiko chini kidogo ya kisimi.

Vilevile kuna baadhi ya watu ambao wanaamini sana msemo huu “bucha zote nyama ni ileile”…hey sio kweli nyama zinatofautiana kwa kiasi kikubwa na hata utamu hutofautiana na hii hutegemea zaidi na uwazi wa muhusika pia ufurahiaji wa mwanamke anapofanywa na mpenzi wake ambao sio wa uongo (Fake)…

Sikiliza dada/mama mpendwa nikwambie, uke ni kitu cha thamani mbacho mungu ametujaalia, uke una sura nzuri na ndio maana waume/wapenzi wetu hupenda kuangalia na wengine kucheza nayo, huenda ni kweli haikuvutii lakini kumbuka kuwa huhitaji kuvutiwa kwani wewe ni mwanamke hivyo unatakiwa kuvutiwa na uume.

Sasa ili ujijue unatakiwa kucheza na mwili wako wakati mpenzi wako hayupo au pale unapokuwa na muda basi jitafutie faragha kisha tumia kioo jichunguze, cheza na maumbile yako, jiguse, jiangalie ukinyegeka basi jichue (usitumie sanamu bali mikono yako) na hakikisha unajua umegusa wapi ambapo pamekufanya ujisikie hivyo ulivyojisikia (kama vipi andika kabisa kwenye karatazi) fanya hivyo kila unapopata muda ...

Kumbuka wanawake wanatofautiana sana ukiachilia mbali kitabia, maumbile na muonekano pia wanatofautiana jinsi ya kufurahia ngono/mapenzi hivyo usitegemee mpenzi wako akufanyie vile anavyoujua mwili wa Fulani na Fulani mwambie akufanye vile wewe unapenda.

unaweza kusom pia

Ulimi Kisimini-Siri Ya Mwanamke Kufika Kileleni

Jinsi ya Kukata Kiuno

Jinsi ya Kufurahisha mwanamke Katika Ngono

Chumvini-Kunyonya Kuma

Sehemu tofauti za utamu wa ngono kwa wanawake

Jinsi ya kunyonya uume

Kupiga Nyeto kwa Wanawake