Showing posts with label Chumvini-Kunyonya Kuma. Show all posts
Showing posts with label Chumvini-Kunyonya Kuma. Show all posts

Friday, May 29, 2009

Methali zaidi za Kiswahili kuhusu kuma na mboo



Akiba ya nyege haiozi.
Dua la kuma haliipati mboo.
Chovya chovya huleta nyege
Asiye na nyege, ajinunulie viagra
Dalili za nyege ni condom
Palipo na mboo kuna makende
Mboo na kuma wakipigana, makende hubaki nje
Kidole kimoja hakitoshelishi kuma
Mwenye mboo mpishe
Mboo kuu haukosi shahawa
Mwenda pole hamwagi
Mwanamke mwenda pole ndiye alae mboo.
Panapo kuma pana mboo
Kuma ikililia mboo ipe!.
Kuma ya mwanamwari haiachi uvundo!
Utamu hupatikani ila kwa ncha ya mboo.
Panapo mboo hapakosi kuma
Uvundo wa kuma hautapishi.
Mboo ikisifiwa kuma hujitokea maji
Mtaka mboo sharti afurame
Jasho la mnyi-nyege ni Viagra.
Usiamshe mboo iliyolala mwisho utalazwa wewe
Utamu wa kuma aujua mboo
Mbooo uileavyo ndivyo ikuavyo
Mpanda mboo hushuka
Haraka haraka haina utamu
Kuma ikiondoka mboo hutawala
Mchagua kuma simtombaji
Mboo fupi hailambwi
Mboo ikimwaga hayazoleki
Aisifue mboo imemtomba
Fuata kuma ule asali
Mboo mwenda kimya ndiye alaye kuma
Ngoja Ngoja humwagizia nje
Asiyefunzwa na mboo hufunzwa na ponyeto
Bandu bandu hukojoza mboo
Bandu-bandu husimisha kisimi
Kuma usiyoitomba hujui utamu wake
Apendae kuma kisimi hukiita pipi
Aisifuye kuma ameitomba
Usigeuka kuma kuharibikia ukubwani?
Kila kuma huruka kwa nyege yake
Nyege nyingi huondoa maarifa
Asiyekubali kutombwa si mtombwaji
Mwanamke mbaya kuma yake tamu!
Dawa ya mboo ni kuma
Fadhila ya mboo kukukojoza
Fuata kuma ule asali
Nyege haiozi
Mboo bandia si dawa ya nyege
Mboo ya shamba haitombi mjini
Kuma mbaya si sanamu jema
Kiingiacho kumani si haramu
Kila mwamba kuma kisimi huvuta kwake
Kipendacho mboo dawa
Kisebusebu na vinyege vipo papo!
Kuma usioitomba hujuwi utamu wake
Kufa kwa kuma shahawa kutawanyika
Mla kuma ya mwenziwe utoko humuelemea
Kuma nyoga hukimbiza ksimi chake
Kwenye kuma hakuna watombaji
Mchagua kuma si mtombaji
Mkamia kuma haitombi
Mkono mmoja haupigi ponyeto
Siri ya kuma iulize mboo
Aitukanaye mboo haikumtoa nyege
Mboo haina mfupa
Raha ya mkundu muulize mifraji
Utamu wa kufirwa muulize mfirwaji
Mbiyo za kitandani huishia ukingoni
Asiye na nyege hunyegeshwa
Anyegeshwaye hana nyege
Mchimba kisimi huingia kumani
Mkundu mtupu haulambwi
Mwenye nyege haambiwi simika!
Mboo usiyoinyonya yakuwashiani?
Mboo haina macho.
Mchagua kuma kumamamaye!
Usimwamshe aliyetombwa utalala wewe!
Apigaye ponyeto amezidiwa.
Mashavu ya kuma hayaumani!
Kelele za kuma hazimzuwii mtombaji kutomba.
Kilio cha nyege si huzuni.
Ngono haingoniki hadi ingonolewe!
Asiyewahi kutomba hajafaidi!
Mkaidi hafaidi hadi atombwe!
Vita vya kuma neema ya mboo.
Zipiganapo mboo mbili inayofaidi ni kuma.
Anyonywaye hujiregeza!
Atombwaye haachi kujiregeza.
Mtombaji anayetomba leo, mtobaji wa jana katombani?”
Kila mboo na nyege yake!
Aliyewahi kunyonya kuma hanyonyi mara moja.
Mavuzi ya kuma dawa ya mboo.
Teke la kinena haliumizi kisimi.
Usiamshe kisimi kama huwezi kukitwanga.
Itombwaye ni kuma, macho yarembukani?!
Ukitaka mwanamke akugande, mkojoze!
Akijiozwaye haridhiki kiuno kimoja.
Kiuno kimoja hakiishi nyege!
Kumwaga shahawa si mwisho wa kutomba.
Msitukane kuma na watombaji wangalipo.

Mpenda kutomba

Tuesday, March 24, 2009

Kuma Yangu Inanuka

Kuma Yangu Inanuka



"Mimi ni mwanamke wa miaka 28 nimeolewa na nina 2 beautiful kids. Tatizo langu ni kuwa, toka nimezaa mtoto wa kwanza miaka 12 iliyopita huku kwenye Kuma kunatoka udenda mweupe unanuka sana hata kama nikimaliza kuoga najiingiza vidole kujisafisha lakini harufu ipo pale pale na nikikaa na mtu karibu nahisi kabisa wanaisikia harufu yangu.


Mume wangu huwa namuuliza unasikia harufu huwa anasema hunuki hata kidogo ila naona anaogopa kuniambia labda nitakasirika huwa naona aibu sana kulala na mume wangu maana ni harufu kali mda wote lazima nivae pad la sivyo chupi yote inakua mbichi pia wakati wa kufanya mapenzi najaa sana maji hadi sijisikii kufanya na mume wangu pia nahisi labda na magonjwa sijui nifanye nini yani sina raha .... thanks."


Jawabu: Hi mdada wa miaka 28, shukrani kwa ufafanuzi. Ingekuwa ute mweupe mzito kama "cream" au laini kama "Lotion" (inategemea na mzunguuko wako kwa wakati huo) ningesema ni Utoko lakini "udenda" mweupe na wenye harufu ni wazi kuwa baada ya kujifungua ulipata maambukizo.

Kwakweli hapa nakushauri ukamuone Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kwa ushauri na hatimae matibabu, huenda tatizo halipo kwenye uke bali ndani kabisa kwenye viungo vya uzazi. Tafadhali fanya mihadi na Mtaalamu wa magonjwa ya akinamama, hasa wazazi kwa ushauri zaidi.

Ikigundulika unatatizo basi ni vema kama utamshauri mumeo pia apate matibabu kwani asipopata matibabu atakuambukiza tena kile alichonacho ambacho amekuwa akikutana nacho kila mnapofanya mapenzi.


Kumbuka kuwa wanawake huwa wana vijidudu marafiki ambavyo vinaishi ndani ya Uke lakini vikikanganywa kidogo kutokana na mabadiliko ya mwili wako, madawa, lishe n.k. vinaweza kukasirika na kusababisha ugonjwa maeneo hayo.


Vilevile kuna magonjwa mengine ya zinaa mtu anakuwa nayo kwa muda mrefu bila dalili yeyote na baadae ndio unakutana na matatizo kama hayo ya harufu, kuumwa tumbo n.k. Ni vema tukawa na tabia ya kupima magonjwa ya zinaa mara kwa mara kwani mengine hujitokeza yenyewe tu kutokana na "friendly bacteria" ambao kama nilivyosema wanawake wanavyo, wasipokuwa makini na "life style" au usafi wanaweza kuambukiza wenza wao.


Tunashauriwa mara chache wanandoa kutumia Condoms na kuangalia magonjwa ya zinaa mara kwa mara.....tendo la Ngono (yaani ile Kuma kukutana na Mboo) inaweza kusababisha mkanganyano wa wadudu marafiki wa ukeni na kuibua gonjwa la zinaa.

Kila la kheri huko kwa Dokta!

Ngono ni sanaa

Ngono ni sanaa


Kufanya mapenzi/ngono na mpenzi wako ni sanaa, tuchukulie sanaa ya urembaji. Huitaji kwenda shule/darasani ili ujue jinsi ya kuremba au kujiremba bali unakwenda shule ili uwe na Cheti kinachotambulika ili uweze kukitumia kutafutia kazi na pengine kuaminiwa na Muajiri au Mteja wako.

Sidhani kuna mtu anataka cheti cha kufanya ngono ei?
Sanaa ya urembo huanzia kwako mwenyewe, unajaribu wanja unakaa vibaya unafuta unapaka tena mpaka unaona sasa umekaa sawia, hali kadhalika unapaka rangi hii ya mdomo inakuwa haiendani na umbile la midomo yake unapaka nyingine mpaka unagundua rangi/aina gani inafaa kupakwa midomoni mwako sio? Hali kadhalika poda na “foundation”.

Sasa hata Ngono inatakiwa ijaribiwe hivyo na wewe mwanamke mwenyewe. Kwanza unatakiwa kuujua mwili wako na umbile lako huko chini, eti wengine hujiogopa na kusema linatisha au limekaa vibaya (hii ilikuwa wakati ule tuko wadogo tusijichungulie wala kujigusa na hatimae kuondoa bikira) ukishaanza kuingiziwa mboo huna haja ya kujiogopa.

Kuna baadhi ya wanawake hawajui kabisa Kuma zao zimekaa vipi na hata mpenzi wake haruhusiwi kuona, vilevile kuna baadhi ya wanaume ambao wanadhani kuwa mwanamke ana tundu mbili kule chini moja ni ya mkojo na nyingine ni ya kutumbukiza mboo na hujidanganya kwa kusema “ukibahatisha kutia tundu la kutolea mkojo ndio mwanamke anafika haraka”…..hahaha nafikiri huwa wanamaanisha kisimi mana’ke kitundu cha mkojo kiko chini kidogo ya kisimi.

Vilevile kuna baadhi ya watu ambao wanaamini sana msemo huu “bucha zote nyama ni ileile”…hey sio kweli nyama zinatofautiana kwa kiasi kikubwa na hata utamu hutofautiana na hii hutegemea zaidi na uwazi wa muhusika pia ufurahiaji wa mwanamke anapofanywa na mpenzi wake ambao sio wa uongo (Fake)…

Sikiliza dada/mama mpendwa nikwambie, uke ni kitu cha thamani mbacho mungu ametujaalia, uke una sura nzuri na ndio maana waume/wapenzi wetu hupenda kuangalia na wengine kucheza nayo, huenda ni kweli haikuvutii lakini kumbuka kuwa huhitaji kuvutiwa kwani wewe ni mwanamke hivyo unatakiwa kuvutiwa na uume.

Sasa ili ujijue unatakiwa kucheza na mwili wako wakati mpenzi wako hayupo au pale unapokuwa na muda basi jitafutie faragha kisha tumia kioo jichunguze, cheza na maumbile yako, jiguse, jiangalie ukinyegeka basi jichue (usitumie sanamu bali mikono yako) na hakikisha unajua umegusa wapi ambapo pamekufanya ujisikie hivyo ulivyojisikia (kama vipi andika kabisa kwenye karatazi) fanya hivyo kila unapopata muda ...

Kumbuka wanawake wanatofautiana sana ukiachilia mbali kitabia, maumbile na muonekano pia wanatofautiana jinsi ya kufurahia ngono/mapenzi hivyo usitegemee mpenzi wako akufanyie vile anavyoujua mwili wa Fulani na Fulani mwambie akufanye vile wewe unapenda.

unaweza kusom pia

Ulimi Kisimini-Siri Ya Mwanamke Kufika Kileleni

Jinsi ya Kukata Kiuno

Jinsi ya Kufurahisha mwanamke Katika Ngono

Chumvini-Kunyonya Kuma

Sehemu tofauti za utamu wa ngono kwa wanawake

Jinsi ya kunyonya uume

Kupiga Nyeto kwa Wanawake

Saturday, March 14, 2009

Chumvini-Kunyonya Kuma

Chumvini-Kunyonya Kuma

Kwanza unatakiwa utambue kuwa baadhi ya wanawake hawako huru kukuachia wewe mwanaume ukodolee macho kwenye Kuma yake hivyo kama unampango wa “kumshukia chini” basi utalazimika au niseme hakikisha kuwa unamuandaa kwa kusifia Kuma yake, harufu asilia ya Kuma yake , mhakikishie kuwa hakuna kitu kinakufurahisha/kupa raha kama kuangalia mandhali ya Kuma yake, mwambie vipi unapenda anyoe nywele zake za huko (mnyoe ukiweza) n.k

Pamoja na juhudi zako za kusifia hakikisha unaonyesha kwa vitendo kuwa unatukuza uumbaji wa Kuma yake(unamaanisha unayosema hapo juu)…..mfano

1-Nusa chupi yake hasa pale katikati ikiwa imelowa kutokana na “kunyegeka”.

2-Ibusu (kwa juu) au busu eneo la Kuma hata kama ni mbali kidogo kwamba sehemu ya kiunoni kwa kuanzia, vilevile mnapokuwa tayari kulala weka mkono wako juu ya K yake mpaka upitiwe/apitiwe na singizi.

3-Cheza na Kuma yake kabla ya kufanya mapenzi, kwamba ichezee na vidole kisha vilambe.

4-Sifia jinsi ilivyokuwa siku iliyopita mlipokuwa mkifanya mapenzi MF-“ unam-sms kwa kusemakuwa “kila nikikumbuka ilivyotuna/lainika unasikia raha sana” n.k.

Bikira wa chumvini.

Fanya zoezi hili la ulimi; kwa kujiangalia kwenye kioo toa ncha ya ulimi wako bila kupanua mdomo wako na bila kuung’ata na meno yako kisha upeleke ulimi huo mbele na nyuma, huku na huko taratibu, kisha chora # 8 kidoleni kwako mara mbili alafu kinyonye kidole hicho kama vile unalamba mabaki ya kitu kitamu .

Zamia sasa!



Baada ya kulambana na kukumbatiana na kila kitu shuka taratibu maeneo ya chini(usiende moja kwa moja kisimini, ukichelewa ndio raha yenyewe hiyo) pia itasaidia usiumbuke

Sasa anza kwa kubusu na kulamba taratibu sehemu ya kiunoni kuelekea chini, hamia ndani ya mapaja, rudi juu kwenye eneo zima la Kuma lakini sio mashavuni/lips ni lile eneo la juu (msikilizie) ukiona ana-relax au kushika kichwa taratibu endelea ukiona anajibana-bana acha kwani hatokuwa tayari (jaribu siku nyingine na ongeza zoezi la kusifia mapenzi yako juu ya kiungo Kuma).


Baada ya kutembelea eneo zima la Kuma na yeye yuko "relaxed"(kwamba anajiachia na ku-move taratibu au kutoa miguno fulani) hamia taratibu kwenye "labia" wenyewe mnaita shavu/lips na upitishe ulimi wako kuzunguuka hilo eneo, wakati huo Kisimi kitakuwa kinaanza kuinuka (sio wote wako hivyo lakini) basi wakati huo ndio muafaka kabisa wa kukinyonya na kuachia x3 kwa kutumia midomo yako(lips) na ulimi (kama unanyonya kitu kitamu kidoleni sio kufyonza).

Baada ya hapo sasa ndio unaanza kufanya mitindo niliyoisema na hapa tuanze na Mduara a.k.a mzunguuko;

Kwa kutumia ncha ya ulimi lamba kisimi kwa kukizunguuka kwa muda kisha kinyonye na kuachia alafu endelea na mzunguuko, ongeza "speed" kutokana na mpenzi wako anavyo itikia/furahia utamu(utajua tu kutokana na movement zake au anakandamiza kichwa chako au anajinyajua kuufuata mdomo wako kama sio kutoa sauti za ajabu).


Ikiwa utachoka basi unaweza kuupumzisha ulimi wako kwa kulamba eneo na pembe zote za Kuma kama "ice cream" vile alafu rudia kama mwanzo na mambo yatakuwa bomba.


Umbo namba 8;

Fanya kama nilivyoeleza hapo awali ila unapofika kisimini badala ya kuzunguuka chora namba nane kwenye kisimi kwa kubadilisha mfano unaanza na kulia next round unaanza na kushoto.


Pembe 2 pembe a.k.a huku na huku a.k.a juu-chini;
Fanya kama nilivyosema mwanzo kabisa lakini unapofika kwenye kisimi unatakiwa kukilamba kwa kutumia ncha ya ulimi wako kama vile unapiga vigeregere (ila sio kwa speed ya kigeregere mzee).


Hey.....Usisahau kukinyonya kisimi kwa kutumia lips na ulimi kwenye kila "mtindo" ili kupumzika na wakati huohuo kutopoteza utamu unaompatia huyo unaemnyonya (mpenzi wako).


Ukishazoea kucheza na kisimi kwa kutumia ulimi na yeye akazoea nakuwa relaxed na mkajifunza kuwasiliana while doing it mambo yatakuwa safi sana, kwani itakurahisishia wewe kujua mwendo gani anapenda zaidi, unamfikisha haraka n.k.

Vilevile wewe mwanaume ukizoea utaweza kubudi mbinu nyingine na wakati mweingine ku-mix all in one na mambo yatakuwa barabara.....ila kwa sasa fanya moja at a time mpaka hapo wote mtakapo zoea.

Kwa kuanzia sio lazima umeze yale mate yaliyochanganyikana na ute wa mwanamke (kutoakana na nyege au utamu anaoupata) unaweza ukawa unaachia mmiminiko huo kumwagikia kwenye shuka/godoro ni vema kuhakikisha kuwa chini kuna taulo au nguo yeyote ambayo itaondolewa mara baada ya kumaliza "kuzamia" ili muendelee na game lingine bila unyevu usio wa lazima.

Wanawake pia huwa wanaachia mchanganyiko huo (wengi huwa wanautumia kama "jelly" asilia unapompa mwanaume "blow&hand job"mpaka ujekuzoea ndio unaamua kama kumeza au kuachia (ni chaguo lako).

Kumbuka kufanya hivi na mpenzi unaemwamni au tumia Condom kwani Ngoma na magonjwa mengine yanaambukizika kwa ngono ya mdomo.

Chukua tahadhari, Jiheshimu, Jali, Tunza na thamini utu wako.....tumia Condom.


Kwa wale ndugu ambao ni wazoefu Big up to u all na shukurani sana kwa kutambua haki ya mwanamke kufurahia mwili wake kila anapofanya mapenzi na wewe.