Sunday, June 21, 2009
Katelelo
Basically nasikia ni Clitoris Stimulation technique ambayo nasikia mwanamke akifanyiwa hata kama tangu azaliwe hajawahi pata orgasm atapata tu. Tena zaida ya yote nasikia mwanamke anaweza mwaga maji hadi LITA 3 au hata 4.
Jamani hiki kitu kipo kweli? Sasa kama kipo jamani mke wako au mpenzi wako akitombwa na hao jamaa wa katelelo si ndio atakukimbia tena kibaya zaidi awe hapati orgasm akisex na wewe
Jawabu
Katelelo ipo na nina uhakika wengi huwa wanaifanya ila majina ndio hutofautiana au hawaipi jina zaidi ya "nilimsugua kisimi", "nilichapwa kisimini" "nilinyonywa/lambwa kisimi".
Swala la kumtomba mwanamke na kutoa lita tatu za maji sina uhakika linasababishwa na "katelelo" bali ni maumbile zaidi kwamba wapo wanawake wanamwaga maji na wengine wanatoa ute mwingi lakini sio kisai cha kuleowesha godoro.
Sasa ni hivi, Kitendo cha kucheza na kisimi kwa utaalamu na mirindimo tofauti mpaka mwanamke anamaliza ndio kinaitwa "katelelo", kitendo hiki hakina tofauti sana na "kumshukia" mwanamke yaani kucheza na kisimi kwa kutumia ulimi japokuwa ulimi ni mtamu zaidi kwa vile ni laini kutokana na mate kinywani vilevile unanyonya kila baada ya "vibrashi" vichache, bila kusahau kuna "speed" amabyo huongezwa na kupunguzwa.
Kitendo hiki hufanywa kwa kufuata mikao fulani kama ilivyo kwenye "kumshukia Chumvini" na mikao hiyo ni kama vile "Doggy" Inaweza kuwa ya kupiga magoti au ya kuinama, kulala chali na kupanua miguu, kukaa kochini au kitini na kupanua miguu.....kama hakionekani basi mwana mama itamlazimu kutumia mikono yake ili kupanua maeneo yake nyeti ili uweze kufanyia kazi "kiharage".
Kuna namna ya ukamataji wa uume ili kufikia lengo, kuna wale wanaoushikilia karibu zaidi na kichwa hali inayoongeza ukubwa wa "kichwa" na ugumu hali inayo ongeza utamu alafu ndio wanasugua (hii kama inauma vile eeh), wacha niseme ku-brashi Kisimi, ku-brashi huko hutofautiana (nitakuambia jisni ninavyoendelea)
Pia kuna wanaume wengine hushikilia uume kama vile wanavyo kojoa (sio manii bali mkojo maji) au wanavyouingiza ukeni lakini sasa wanaishia kisimini tu na kufanya ile-brashi. Sasa wakati unaendelea na ku-brashi unatakiwa kuongeza manjonjo na "spidi" ili kumpa mpenzi wako utamu makini.
Unaweza kuwa unachovyesha kichwa pale ukeni (unapoingia uume) pale mwanzo wa uke kuna utamu wake ambao ni tofauti au niseme ni zaidi ya ule wa kisimi japokuwa huwezi kufikia kilele.......wakati "unamkaTelelo" Kisaikolojia atakuwa anasikilizia Utamu wa ajabu bila kujua tofauti, yeye atakuwa akijua unacheza na sehemu ya juu ya uke wake ambayo ni Kisimi.
Ikiwa mwanamke unaefanyanae ni mmoja kati ya wale wenye kutoa maji mengi (nasikia baadhi ya Wahaya,Wachaga, Wanyakyusa (kwa Tz), Waganda, Warundi na Wanyarwanda) hii ni kwa ajili ya kula ndizi nini hehehehehe......basi wakati anakaribia utaanza kuona maji yakiongezeka na akifika kabisa basi ndio vile......usisahau kuanika Godoro.
Wanawake wengi wa Kiafrika wanapenda sana mtindo huu wa ufanyaji ngono kwa vile ni rahisi kufika kileleni kuliko aina nyingine ya ufanyaji hasa ukizingatia kuwa asalimia kubwa ya wanawake hawana uwezo wa kusikilizia/kupata utamu wa ngono kwenye maeneo mengine (mwanzo wa uke, Kipele G, Kuta za uke na eneo linaolitwa AFE).
Kisimi ni eneo pekee la linaloweza kumfanya mwanamke kupata uzoefu wa utamu wa ngono kwa haraka kuliko sehemu nyingine za uke wake hata kama kajaaliwa kusikilizia utamu ikiwa maeneo mengine manne yakifanyiwa kazi vema.
Tuesday, June 16, 2009
Yote Kuhusu Ubakaji
Ubakaji | ||||
Watu wengi hufikiria kwamba ubakaji ni uhalifu unaotekelezwa tu na watu ambao kamwe hatuna ufahamu nao maishani - wanaovizia watu vichochorini kwa lengo la kuwadhulumu kwa njia hiyo. Ukweli ni kwamba si wabakaji wote ni watu wa aina hiyo. Uchunguzi unaonyesha kuwa mara nyingi ubakaji hutekelezwa na watu tunaowajua, yaani wanawake wanaobakwa, mara nyingi hubakwa na watu ambao wamewahi kukutna nao, wanawajua vyema, huenda pia ni watu wanaowaamini au hata kuwa ni wapenzi wao. Kwa hivyo hali yoyote ile, ambayo mtu anamlazimisha mwengine, kwa vitisho, nguvu au vyenginevyo, kufanya nae ngono huwa ni ubakaji. Tahadhari na Madawa na pombe inayotumiwa na wabakaji kumpoteza fahamu yule wanaokusudia kumbaka! Wakati wengine wabakaji hutumia madawa ya kulevya kumpoteza fahamu yule wanaedhamiria kumbaka. Madawa kama vile rohypnol, GHB au ketamine na hata pombe hutumiwa katika ubakaji pia kumfanya mwenye kubakwa asiweze kujitetea kwa njia yoyote. Madawa hayo yanaweza kutiwa ndani ya kinywaji cha mtu anayenuiwa kubakwa. Madawa hayo yanaweza kuwa yasiyo na rangi yoyote, yasiyo na ladha wala kunukia. Lakini kuna mambo fulani unayoweza kuyafanya ili kuepuka visa kama hivi.
Waathiriwa wa ubakaji mara nyingi hujilaumu wenyewe akijuta kwanini alijiweka katika hatari ya kubakwa, kwanini alikubali kinywaji kilichomfanya kupoteza fahamu, kwanini hakuwa mwangalifu zaidi, kwanini aliiwaamini watu ambao kumbe ni walaghai, wahalifu, wabakaji ... kwanini kisa hicho kimemtokea yeye ... kwanini, kwanini, kwanini ...nk. Pia huwa kuna wasiwasi kuwa alotekeleza kitendo hicho anaweza kukifanya tena! Wasiwasi mwengine ni kama anahisi vyombo vya usalama visimpe usaidizi wa kutosha, huenda watu wasimwamini hasa ikiwa alombaka ni mtu alowahi kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi. Kujuta kutakuwepo lakini ni vyema kutafakhari zaidi hatua za kukabiliana na kisa hicho. Ubakaji wa mume kwa mume Mbali na madhara ya kiafya, kubakwa kwa wanaume kunachukuliwa kuwa kitendo cha kufedhehesha zaidi kwani wengi huamini kuwa ni wanawake tu wanaoe weza kubakwa. Kutokana na mtazamo huo mwanamume waliobakwa, ni vigumu zaidi kwao kukabiliana na hali hiyo. Ndio sababu vingi ya visa vya ubakaji wa wanaume haviripitiwi! Sababu nyengine zinazomfanya mwanamme kuona ugumu zaidi kukabiliana na kisa cha kubakwa ni kama zifuatazo.
Kukabiliana na kisa cha ubakaji Kama yakikufika
Kama unafikiria ubakaji huo ulishirikisha madawa ya kulevya basi unapaswa:
Kutoa habari kuhusu ubakaji
Usiogope kuomba usaidizi. Daktari wako anaweza kukupeleka kwa mshauri ambaye anashughulikia na visa vya ubakaji, na kuna mashirika mengi yanayoweza kusaidia. Unaweza kumsaidia vipi mtu aliyebakwa?
|